AUDIO: Nay aachiwe huru na wimbo wake upigwe - JPM
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Magufuli, amelitaka jeshi la polisi nchini kuhakikisha linamwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego, aliyekamatwa mjini Morogoro jana.