'Vibaka' wamtoa chozi Barnaba Classic Barnaba Mkali wa bongo fleva Barnaba Classic ambaye anatamba kwa kibao chake matata kinachopewa jina la 'Lonely' usiku wa kuamkia leo Jumatatu amelizwa vitu vilivyokuwa ndani ya gari lake na watu wasiojulikana. Read more about 'Vibaka' wamtoa chozi Barnaba Classic