Beki Azam arejea kikosini kuivaa Yanga Jumamosi Aggrey Morris Beki wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aggrey Morris ameanza rasmi kufanya mazoezi mepesi baada ya kupata nafuu ya majeraha yake ya mfupa wa paja la kulia. Read more about Beki Azam arejea kikosini kuivaa Yanga Jumamosi