VIDEO: Muziki haujawahi kunilipa - Baghdad
Msanii wa hip hop Bongo Baghdad amekuwa na mawazo ya tofauti na wasanii wenzake baada ya kufunguka kwenye Planet Bongo ya EA Radio kuwa hafanyi kazi ya sanaa kwa ajili ya kipato bali anarudisha fadhila kwa watu.