Kocha wa England anavyoitamani Ujerumani South gate katika mazoezi ya England Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Uingereza Gareth Southgate, amesema ni wakati sasa wa soka la Uingereza, kupiga hatua kama ilivyofanikiwa mabingwa wa Dunia, Ujerumani. Read more about Kocha wa England anavyoitamani Ujerumani