Mkwasa: Waalgeria hawatutishi Boniface Mkwasa Katibu Mkuu wa timu ya Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa amesema timu yake imejipanga vyema kuelekea mchezo wao dhidi ya MC Alger kutoka Algeria na kuwataka mashabiki wa klabu hiyo kutokuwa na hofu. Read more about Mkwasa: Waalgeria hawatutishi