Upepo wa siasa hujaumiza wasanii - Cyril
Msanii Cyril Kamikaze ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya wa 'Sinunui stress' amesema siyo kweli kwamba muziki unakosa 'promo' pindi yanapotokea masuala makubwa ya kitaifa kwa kuwa kila jambo linakuwa na wadau wake