Izzo ni Mwanangu siwezi kumchana - Jay Moe
Msanii mkongwe anayetamba na ngoma ya 'Nisaidie Kushare', Juma Mchopanga ‘Jay Moe’ maarufu zaidi kama 'Famous' amekanusha kumchana Izzo Biznez katika ngoma hiyo na kwamba Izzo mtu wake karibu ambaye wanashirikiana kwenye kazi nyingi.