Arsenal yakanusha kumtaka kocha wa Dortmund Thomas Tuchel - Kocha wa Dortmund Klabu ya soka ya Arsenal imekanusha taarifa zilizotoka Ujerumani, kuwa imeongea na kocha wa Borussia Dortmund, Thomas Tuchel awe mbadala wa kocha wa timu hiyo, Arsene Wenger. Read more about Arsenal yakanusha kumtaka kocha wa Dortmund