Kesi ya kupinga ushindi wa Tinubu Nigeria kuanza Kesi kupinga ushindi Bola Tinubu kama rais mteule wa Nigeria itaanza kusikilizwa Jumatatu wiki ijayo ambapo majaji kutoka mahakama ya rufaa ndio watakaosikiliza kesi hiyo. Read more about Kesi ya kupinga ushindi wa Tinubu Nigeria kuanza