Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri. Read more about Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye