Mnyama afanya kweli, atinga nusu fainali Laudit Mavugo katika moja ya mechi zake Bao pekee la mshambuliaji Laudit Mavugo raia wa Burundi limetosha kuivusha Simba SC hadi hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho, baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Madini SC. Read more about Mnyama afanya kweli, atinga nusu fainali