Sijawahi kubebwa na Chege - Mh. Temba Temba (kushoto) akiwa na Chege Msanii wa bongo fleva Temba amesema maneno yanayoongelewa kwamba anabebwa kimuziki na msanii mwenzake Chege hali inayompelekea ashindwe kuachia nyimbo kwa muda mrefu hayana ukweli wowote. Read more about Sijawahi kubebwa na Chege - Mh. Temba