Zanzibar haitakatiwa umeme - Prof Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo amewatoa hofu wananchi wa Zanzibar kuwa hawatakatiwa umeme baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuanza kulipa deni inalodaiwa na TANESCO.