Amber awafunda wanaotafuta umaarufu mitandaoni
Mrembo anayepamba video za wasanii bongo ' Amber Lulu amewataka warembo wenzake kubadilisha mfumo wa maisha wa kutafuta umaarufu kupitia mitandao ya kijamii kwa kupiga picha zisizofaa na badala yake wafanye kazi za kusaidia jamii ili wakumbukwe.