Sura mpya zatawala kikosi cha Taifa Stars

Kocha Salum Mayanga (Kushoto) akiwa Msemaji wa TFF, Alfred Lucas

Kocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga leo Jumatatu Machi 13, 2017 ametangaza majina ya wachezaji 26 watakaounda kikosi hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS