VIDEO: Kwanini Mzee wa Upako anamkubali JPM?

Siku Rais Magufuli (kushoto) alipotembelea katika kanisa la Mzee wa upako (kulia)

Mchungaji Anthony Lusekelo wa Kanisa la Maombezi Ubungo KIbangu, ameelzwa kukunwa na utendaji wa serikali ya awamu ya tano iliyo chini ya Rais John Magufuli, huku akiweka wazi asili ya jina lake la 'Mzee wa Upako'

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS