Dayna aeleza sababu ya kumficha mpenzi wake

Dyna Nyange

Msanii wa muziki wa bongo fleva Dayna Nyange ameweka wazi kuwa watu wasitarajie kumuona mpenzi wake katika mitandao ya kijamii kwani hana mpango wa kufanya kitendo hicho mpaka pale atakapofunga ndoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS