Tanzania 'yashtuka' viwango vya FIFA Kikosi cha Taifa Stars Tanzania imepanda kwa nafasi moja katika viwango vya soka vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutoka nafasi ya 158 mwezi Februari hadi nafasi ya 157 mwezi Machi, kati ya wanachama 211 wa FIFA Read more about Tanzania 'yashtuka' viwango vya FIFA