Wema afanya jambo Siku ya Wanawake Duniani

Wema akiwa ameungana na baadhi ya viongozi akiwemo Mbunge Devotha Minja

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameshiriki kwa kupanda miti katika vyanzo vya maji vya Mbogo na Nukutu katika milima ya Uluguru, Manispaa ya Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS