G Nako akosoa wanaojadili changamoto za muziki
Msanii G Nako kutoka 'Weusi' amewataka wasanii na watu wanaohitaji kuwekeza na kufanya biashara ya muziki wasiogope changamoto zilizomo, bali fursa na uwezo wao wa kuzikabili, huku akiwakosoa wanaweka changamoto hizo hadharani.