Kikwete afiwa na mama yake Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete Mama mlezi wa aliyekuwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Bi Nuru binti Halfani Shomvi amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa asubuhi ya leo. Read more about Kikwete afiwa na mama yake