Ridhiwani anavyowapatanisha Kikwete na Lowassa
Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ameweka wazi kuwamba Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye ni baba yake mzazi pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa hawana matatizo yoyote kama jinsi watu wengi wanavyodhani