Lissu aachiwa kwa dhamana Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa saa kadhaa kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi ambayo yangeweza kuibua mtafaruku wa kidini katika jamii Read more about Lissu aachiwa kwa dhamana