BASATA nao waja na tuzo zao Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepanga mwaka huu kutoa tuzo kwa shule mbalimbali nchini ambazo zinafundisha masomo ya sanaa katika shule hizo ili kuwapa hamasa. Read more about BASATA nao waja na tuzo zao