VIDEO: 80% bongo movie hawana vipaji - Aunty
Msanii wa filamu nchini Tanzania Aunty Ezekiel amefunguka na kusema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wasanii wa filamu nchini hawana vipaji, na wanafanya kazi kiubabaishaji, jambo linalochangia tasnia hiyo kuporomoka.