AUDIO: Nimembadilisha akili Young Killer - Calisah Mwanamitindo Calisah (kushoto), akiwa na Rapa Young Killer (katikati) wakati wakifanya video ya wimbo wa 'Sinaga swaga' Mwanamitindo Calisah ambaye ni moja ya watu ambao wanamsimamia rapa Young Killer amefunguka na kusema amembadilisha sana rapa huyo katika mambo mengi. Read more about AUDIO: Nimembadilisha akili Young Killer - Calisah