Wasanii watano anaowakubali Lady Jaydee Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva Lady Jaydee amewataja wasanii watano katika muziki wa bongo fleva ambao anawakubali zaidi kutokana na kazi zao na uwezo wao. Read more about Wasanii watano anaowakubali Lady Jaydee