Muhimbili yafanikisha 'upasuaji wa ajabu'
Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na daktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Falme za Kiarabu kwa mara ya kwanza wamefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa wa mfumo wa chakula na njia ya haja kubwa kwa njia ya matundu madogo.