Dogo Janja amlilia Paul Makonda Rapa Dogo Janja ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kidebe' amefunguka na kumuomba Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanzisha kampeni nyingine ya wezi wa vipuli vya gari. Read more about Dogo Janja amlilia Paul Makonda