JK kumtia kitanzini Nikki Mbishi?
Msanii Nikki Mbishi ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'I'm sorry JK', huenda akaingia matatani baada ya kutakiwa kuripoti katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa ajili ya kutoa maelezo kuhusu ujumbe uliomo kwenye wimbo huo.