Isihaka, Ludovic waizuia Mtibwa kutamba Taifa

Nahodha wa African Lyon, Hassan Isihaka

Nahodha wa African Lyon Hassan Isihaka, na mshambuliaji Venance Ludovic, leo wameizuia Mtibwa Sugar kutoka na pointi tatu katika dimba la Taifa Dar es Salaam, kwa kuilazimisha sare ya mabao 2-2

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS