Ndugai akemea wabunge kukamatwa 'kibabe'

Spika wa Bunge Job Ndugai

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amekemea tabia ya ukamatwaji wa wabunge wanapokuwa kwenye vikao vya Bunge na kusema kuwa jambo hilo ni kinyume cha sheria na utaratibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS