Kamanda Sirro ataja sababu za wahalifu kuachiwa

Kamishna Simon Sirro

Kukosekana kwa ushahidi pamoja na gharama kubwa za kuwatunza wahalifu wanapokuwa mikononi mwa polisi, vimetajwa kuwa ndizo sababu kubwa zinazofanya wahalifu wengi kuachiwa mara baada ya kukamatwa na kufikishwa vituoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS