Nikki Mbishi arusha dongo kwa Nikki wa Pili Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi amemchana Nikki wa Pili na kumuambia kwamba aache kujiita msemaji wa wasanii kwa kuwa yeye ni msemaji wa kikundi kidogo cha wasanii wachache. Read more about Nikki Mbishi arusha dongo kwa Nikki wa Pili