Uwoya ataja sababu ya kupenda wenye sura mbaya

Muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya.

Muigizaji wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi sababu inayomfanya kuwapenda sana wanaume wenye sura mbaya au wanaume ambao hawana muonekano mzuri kwa sura na kusema ndiyo watu ambao huwa wanamchanganya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS