Bosi Mamlaka ya Dawa za Kulevya ateuliwa

Rais Magufuli

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Bw. Rogers William Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (Drug Control and enforcement Authority).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS