Kocha wa Stand United afungiwa, apigwa faini

Kocha Hemed Morocco

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa 72), imemfungia Kocha wa Stand United, Hemed Suleiman ‘Morocco’ kushiriki michezo mitatu uwanjani na faini ya Sh 500,000 (laki tano).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS