Kichapo chamkimbiza Matumla hospitali
Bondia Mohammed Matumla amekumbana na kipigo kisicho cha kawaida na kuumizwa vibaya katika pambano la ngumi, hali iliyosababishwa akimbizwe katika hospitali ya Temeke kwa kutumia gari dogo la mizigo au 'pick up'.