Magufuli ataka vita ya 'unga' isijali umaarufu

Rais Magufuli akisalimiana na IGP Ernest Mangu katika sherehe za kuapishwa kwa Mkuu wa Majeshi nchini, iliyofanyika leo Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwataka viongozi wa majeshi nchini kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wote wa madawa ya kulevya bila ya kujali nafasi zao, na umaarufu wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS