Ice Boy ambebesha Barnaba zigo la lawama Ice Boy (Kushoto), barnaba (Kulia) Msanii Ice Boy awali tulimtambua kama msanii wa lebo ya Barnaba Classic Boy iitwayo High Table Sound lakini siku hizi Ice boy hivi sasa anaonekana akisukuma harakati zake za mukizi yeye peke yake. Read more about Ice Boy ambebesha Barnaba zigo la lawama