Barcelona kuikatia rufaa kadi nyekundu ya Suarez
Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Luis Suarez amedai kuwa ana matumaini ya kwamba rufani yake itakayokatwa itaweza kumuokoa asikose mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa nusu fainali.