Serengeti Boys yafuzu fainali za Afrika Serengeti Boys Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kwa jina la Serengeti Boys, imefuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri huo. Read more about Serengeti Boys yafuzu fainali za Afrika