Vita ya dawa za kulevya yatinga Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro

Vita dhidi ya dawa za kulevya imetua mkoani Shinyanga ambapo  jumla ya watu 17 wanaotuhumiwa kuwa ni watumiaji wa dawa hizo wanashikiliwa na jeshi la polisi wilaya ya Shinyanga

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS