Azam kuendeleza ubabe kwa mabingwa wa Afrika? Azam FC leo inashuka dimbani kukipiga na Mabingwa wa Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, kwenye mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 1.00 usiku. Read more about Azam kuendeleza ubabe kwa mabingwa wa Afrika?