Watu 13 mbaroni kwa kukaidi agizo la serikali

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Stephen Kebwe (Kushoto) akiongoza kamatakamata

Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Morogoro ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro DK. KEBWE STEVEN KEBWE inawashikilia watu 13 wakiwemo wakulima  na  wafugaji  wilayani Malinyi  kutokana na kukaidi agizo la serikali

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS