Rais wa Akudo atimua wasanii 'ombaomba'
Rais wa Band ya Akudo Zagreb Butamu a.k.a Sura ya Mvuto amesema sababu zinazopelekea Band nyingi kupotea na kufa ni kutokana na wasanii hao kuwapiga 'vizinga' mapapaa na mashugamami wanaohudhuria matamasha ya band hizo.