Waganda kuamua mechi za watanzania kimataifa

Brian Miiro Nsubuga, aliyepangwa kuamua mechi ya Yanga

Waamuzi wa Uganda wameteuliwa kusimamia mapambano ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika inayoanza Mwezi Februari mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS