Ulichonacho ni mimba ya unachotarajia - Shamsa
Muigizaji wa filamu nchini Shamsa Ford ametoa ushauri kwa Watanzania hususani vijana ambao hupata kidogo na kushindwa kujipanga na maisha ya kile kidogo wakipatacho na kusema siku zote unapaswa kuthamini kile ulichonacho leo ili kuwa na kesho nzuri.