Ufaulu kidato cha nne mwaka 2016 wapaa

Dkt. Charlse Msonde, Katibu Mtendaji NECTA

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS